Those Who Accuse You - Swahili

$16.00
Short description:
Ingawa shetani kwa kawaida anajulikana kama mshutumu wa ndugu, yeye haswa ni mshutumu katikati mwa ndugu. Katika uzoefu wako wa uongozi, utakutana na aina tofauti za watu. Pengine adui wa kuogofya mno ambao utawahi kumbana nao ni "mshutumu kati ya ndugu". Jua mengi katika toleo hili lipya...
PB-k31

This product is a digital download

.

Ingawa shetani kwa kawaida anajulikana kama mshutumu wa ndugu, yeye haswa ni mshutumu katikati mwa ndugu. Katika uzoefu wako wa uongozi, utakutana na aina tofauti za watu. Pengine adui wa kuogofya mno ambao utawahi kumbana nao ni "mshutumu kati ya ndugu". Jua mengi katika toleo hili lipya na Dag Heward-Mills