KUKUA KWA KANISA

$25.00
Short description:
Ni nini jukumu kuu la mchungaji? Je, ni kufanya mazishi na kusimamia harusi? Kamwe sio! Haya ni majukumu ya mtumishi lakini sio majukumu kuu. Ikiwa utumishi wako umezorota hadi majukumu yako kuu ni kuendesha harusi na kuzika watu, basi unafaa kusoma Biblia yako tena! Jukumu kuu la mtumishi...
PB-k4

This product is a digital download

.

Ni nini jukumu kuu la mchungaji? Je, ni kufanya mazishi na kusimamia harusi? Kamwe sio! Haya ni majukumu ya mtumishi lakini sio majukumu kuu. Ikiwa utumishi wako umezorota hadi majukumu yako kuu ni kuendesha harusi na kuzika watu, basi unafaa kusoma Biblia yako tena! Jukumu kuu la mtumishi ni kutimiza Utume Mkuu.