Wale Wanaosahau (EBOOK)

$8.00
Short description:
Watu wengi wanafamu kuhusu dhambi "nne kuu": kudanganya, kuiba, usherati na kuua. Ikiwa waweza kuuliza watu wakupe orodha ya dhambi sio kwa urahisi wao kutaja dhambi ya kusahau. Lakini Neno la Mungu liko wazi kuhusu jambo hili. Kusahau sio uadilifu! Kusahau, kukosa kukiri, kukosa kukumbuka ni...
E-swa24

This product is a digital download

.

Watu wengi wanafamu kuhusu dhambi "nne kuu": kudanganya, kuiba, usherati na kuua. Ikiwa waweza kuuliza watu wakupe orodha ya dhambi sio kwa urahisi wao kutaja dhambi ya kusahau. Lakini Neno la Mungu liko wazi kuhusu jambo hili. Kusahau sio uadilifu! Kusahau, kukosa kukiri, kukosa kukumbuka ni dhambi mbele za Mungu.