Wale Wanaokuacha (EBOOK)

$8.00
Short description:
Watu wanaokuacha wanaweza kukuharibu. hakuna kitu kinachoweza kuelezea hisia ya mfadhaiko, kuchangayikiwa na mhangaiko ambazo hushuka wakati watu wanakuacha. Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kupambana na uharibifu ambao unaachiliwa wakati watu wanapokuacha. Usidanganye. Kutelekezwa au kuachwa...
E-swa25

This product is a digital download

.

Watu wanaokuacha wanaweza kukuharibu. hakuna kitu kinachoweza kuelezea hisia ya mfadhaiko, kuchangayikiwa na mhangaiko ambazo hushuka wakati watu wanakuacha. Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kupambana na uharibifu ambao unaachiliwa wakati watu wanapokuacha. Usidanganye. Kutelekezwa au kuachwa sio la kipekee kwako na utumishi wako. Wengine wengi wameteseka na mambo sawia. Shetani alikuwa muasi wa kwanza na amevutia uasi wote tangu wakati ule. Ukiwa na kitabu hiki mkononi mwako, utainuka na kupambana na roho wa kukosa ushikamanifu ambao huachiliwa na "wale wanaokuuacha".