Wale Wana ambao ni Hatari (EBOOK)

$8.00
Short description:
Kitabu hiki ni zawadi nyingine kutoka kwenye kalamu ya Dag Heward-Mills kwa watumishi wote watakaopenda kukisoma. Kitabu hiki kitajibu maswali ya namna ya kumudu mahusiano magumu kati ya baba na wana. Kupitia mafundisho ya kitabu hiki, ataepusha laana juu ya maisha yako na kujiletea baraka....
E-swa22

This product is a digital download

.

Kitabu hiki ni zawadi nyingine kutoka kwenye kalamu ya Dag Heward-Mills kwa watumishi wote watakaopenda kukisoma. Kitabu hiki kitajibu maswali ya namna ya kumudu mahusiano magumu kati ya baba na wana. Kupitia mafundisho ya kitabu hiki, ataepusha laana juu ya maisha yako na kujiletea baraka. Akina baba ni watu maalumu wanaowalea wana na wafuasi. Bila akina baba kusingekuwapo na watoto wa kuendeleza huduma kwenye vizazi vingine. Wito wa Mungu hustawi au hufa kulingana na uwezo wako kuhusiana na akina baba. Soma kitabu hiki na uepuke laana zinzohusisha na kutoheshimu, kutokutii na kuwa na mahusiano duni na akina baba.