Stadi ya Usikivu (EBOOK)

$10.00
Short description:
Hakuna somo lenye umuhimu zaidi ya kuwa ndani ya mapenzi makamilifu ya Mungu. Kitu kimoja ambacho kitawatofautisha wahudumu wa injili ni uwezo wao wa kusikia sauti ya Mungu kwa usahihi. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kufuata Roho Mtakatifu katika mapenzi makamilifu ya Mungu. Pale unapokuwa ndani ya...
E-swa06

This product is a digital download

.

Hakuna somo lenye umuhimu zaidi ya kuwa ndani ya mapenzi makamilifu ya Mungu. Kitu kimoja ambacho kitawatofautisha wahudumu wa injili ni uwezo wao wa kusikia sauti ya Mungu kwa usahihi. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kufuata Roho Mtakatifu katika mapenzi makamilifu ya Mungu. Pale unapokuwa ndani ya mapenzi makamilifu ya Mungu, utastawi na kufikia yote unayotamani kwa ajili ya Mungu. Kazi hii bora ya Dag Heward- Mills itakuwa na mguso mkubwa sana katika maisha yako na huduma yako.