Waitwao Ni Wengi (EBOOK)

$10.00
Short description:
Kwa kweli Mungu amewaita watu wengi. Maisha yetu duniani ni fursa ya kumtumikia, na Mungu anaangalia vitu unavyofanya kwa ajili ya Ufalme wake. Kitabu hiki kinachagamsha usomaji. Ukihifadhi akilini mawazo ya ukweli yaliyoandikwa na mwandishi, utapokea hekima kutumia fursa ya maisha yako kwa njia...
E-swa14

This product is a digital download

.

Kwa kweli Mungu amewaita watu wengi. Maisha yetu duniani ni fursa ya kumtumikia, na Mungu anaangalia vitu unavyofanya kwa ajili ya Ufalme wake. Kitabu hiki kinachagamsha usomaji. Ukihifadhi akilini mawazo ya ukweli yaliyoandikwa na mwandishi, utapokea hekima kutumia fursa ya maisha yako kwa njia sahihi.